Swahili
stringlengths
9
495
emotion
stringclasses
7 values
Ushauri wangu ni kuwa Mkapa aendelee kukaa kimya tu.
neutral
Zote zimebeba ujumbe wa
neutral
Tunataka kujua lini tukio hili taarifa zake zitawekwa wazi.
sadness
Kwa nini Lowassa anaandamwa?
surprise
Flyover Mwenge inahitajika kwa haraka kuliko inavyofikiriwa, ona mwenyewe
neutral
Unaweza kujibu maswali kuhusu vifaa vya kusoma.
neutral
ya saa moja usiku bahati mbaya njiani akaanguka, ndugu walijaribu
disgust
Zaidi ya ugonjwa wenyewe, unapaswa kupambana na mahangaiko ya akili kwa sababu ya hali hiyo.
neutral
Lakini Waajemi walipotambua jeshi la Athens lilikuwa limerudi na kuwa tayari, walirudi kwao.
anger
Vijana wa Tanzania, msikubali wenzenu kudhalilishwa na haya manyang'au.
surprise
Amesema kwamba alizungumza na marehemu, siku tatu tu kabla ya kupatikana akiwa ameuawa.
neutral
Hakuwa na uwezo kabisa lakini alijaribu kufanya kile alichokuwa akikijua.
neutral
Amekwepa upande wa ubinafsishaji.
neutral
Wale wanaozungumza Kiingereza wengi ...
neutral
Ni Yake Yeye yaliyoko mbele yetu, na yaliyoko nyuma yetu...
fear
WordPress imepakuliwa Nyakati nyingi
neutral
Uchaguzi Liberia kuelekea duru ya pili
joy
Tumuombe atuongoze safarini.
anger
Sasa wamerudi na vision mpya.
neutral
Kama habari hiyo ni kweli basi Kikwete amekosea sana kumweka kwenye kiti hiyo muuaji mkubwa huyo.
fear
NAIBU SPIKA: Nadhani atakuwa ana ndiyo yako leo huyu.
surprise
we HOSEA usitumie thread ya mwenzio kujitambulisha
neutral
Sema:Yule yule aliye kuumbeni mara ya kwanza!
anger
Alisoma huko Bangalore na Shahada yake ya Maombi ya Kompyuta katika Chuo cha Mount Carmel, Bangalore.
joy
Esther Wanjiru anasema hulisha nguruwe wake mara moja kwa siku.
neutral
wa majina makubwa lakini uwezo wa kuibeba timu ni mdogo."
neutral
Sasa hv tunatamani kuwa huko na sisi maana ni pazuri sana.
neutral
Tutajua wewe vizuri na kuelewa kinachokuchochea.
neutral
Unaweza kuwa bila woga.
neutral
Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi?
neutral
Profesa Muhongo atoweka Bungeni bila ruhusa ya Spika.
sadness
Colin Ford No majibu
sadness
Brenda Mejia.
neutral
..."Kisha Mwenyezi Mungu akateremsha utulivu wake juu ya Mtume wake na juu ya Waumini..."
fear
Wavuvi kulivuta samaki wao katika bandari mapema asubuhi, ikifuatiwa na horde ya squawking gulls, na kutengeneza nyavu zao kabla chakula cha mchana.
neutral
mashabiki wanachagua: Rach: Little Women
joy
Namuomba mama awarudishe.
sadness
Pengine anahisi mtoto ana baba mwingine aliyetoa jina.
surprise
Jeusn Make Mama
neutral
Desemba iliyopita, Trump alitoa tamko la kushangaza ya kwamba Marekani itawaondoa askari wake wote kutoka Syria na kusema kuwa kudi la Daesh limeshindwa nguvu.
surprise
Imagine the night ... (imkeo)
neutral
Pics Photos - Make Up
neutral
Chuo pia kimeanzisha masomo kadhaa mapya katika mwaka huu wa masomo kwa ngazi mbali mbali.
neutral
Hiki ni kinaya cha kuharibika ardhi na vilivyomo ardhini siku ya Kiyama.
neutral
Hao ndio anaowaogopa ........wanaweza kumalizia walipoishia!
fear
Hili la feni pia huenda ikawa sababu...
sadness
Hufahamu kuwa sheria za kiuchumi zinatungwa na wanasiasa.
neutral
Ni wewe uliesababisha.
neutral
Nahisi atakuwa amepata BRAIN CONCUSION
fear
Kula LIKE yangu mkuu
joy
maana yake ni pamoja na madhehebu ya dini, na maneno mengine yanayanayofanana
neutral
Pamoja na gunduzi zake muhimu ...
neutral
...sasa wasitoe misaada wewe vipi
sadness
Kupitia mazungumzo ya vyama vya siasa (Inter-parties dialogue) hakuna kinachoshindikana.
neutral
Baada ya kupata taarifa hizo
neutral
Na (taja) Siku Tutakayofufua katika kila ummah shahidi dhidi yao kutokana na jinsi zao.
neutral
Wakati huo Bara Arabu ilikuwa jamii ya kipagani, na Waarabu wali-abudu masanamu mengi na miungu masanamu, ambao waliamini walikuwa na uwezo wa kuleta bahati njema kwao.
disgust
Kuna pengine somo huko pale kuhusu kuendelea na blogu zako hata wakati unakabiliwa na hali ngumu.
neutral
Hivi umewahi kukutana na vioja vya bondia Floyd Mayweather kwenye ukurasa wake wa Instagram?
neutral
tangu tulivyomit nilikwambia moyo wangu umekudondokea.
neutral
Mwanamume ni mwanamume tu," alisema.
disgust
Ilivyo kujigamba katika yote ya utukufu wake Neo-Renaissance.
neutral
Hiyo ni terminology ya kisheria na maana yake ni hiyo.
neutral
Wasafiri wengi walivuka mpaka na kuingia China, ingawa kulikuwa na ndege moja tu Machi mwaka jana ya kuelekea Vladivostok iliyokuwa imebeba wanadiplomasia kutoka Ujerumani, Urusi, Ufaransa, Uswizi, Poland, Romania, Mongolia na Urusi.
neutral
Maisha yangu hayakuwa na kusudi lolote, sikujali hata ikiwa ningekufa.
sadness
Faida Zenye Ufalme wa Mungu Unaweza Kukuletea Kuanzia Leo
neutral
SOMA; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuwa
neutral
Slaa kukaimu nafasi hiyo.
neutral
Wananchi waendelea kuharibu magari ya mwendo kasi...
neutral
Wakawa wananipangia njama ya kuniuwa.
disgust
watoto wote hao kupotea!?... wazazi wao wanaweza kujua wako wapi..
neutral
Kassos Hii ni mwisho wa kusini mwa Dodecanese, kama ni kukutana Krete na meli nje katika bahari ya Carpathian.
neutral
watuhumiwa watatu wamekamatwa kwenye eneo la tukio ambapo walimtaja mtu mmoja
disgust
Najua huyu Mtu ameshakuwa Rafiki yetu (Swahiba) kabisa Je, kutokana na hili linalomsibu Kwao tunajifunza nini?
surprise
Tubarikie mji wetu.
anger
'Wachezaji wangemsikiza Bob Marley'
neutral
"Kwa nini nisifanye naye kama nitaona kuna biashara na mimi nitapata kitu fulani kutoka kwake?
anger
Makampuni ya dawa yahitaji fedha kukabiliana na vimelea
neutral
Baada ya mchuano, Neymar aliandika kwenye mtandao wake wa kijamii kwamba "cha pekee anachojutia" ni kwamba hakutandika usoni Alvaro Gonzalez wa Marseille na badala yake akapiga tu kisogo cha beki huyo raia wa Uhispania.
sadness
Je wanatutakia mema?
anger
Chapisha picha ambazo zitafadhili udadisi wa wafuasi wako.
neutral
Hunishindi mimi kwa kuichukia hii tabia.
neutral
Yim, Kimiko
joy
Tukikutazama wewe, Mama yetu uliyekingiwa kila doa la dhambi, tunatambua ushindi wa Huruma ya Mungu juu ya dhambi na juu ya matunda yote ya dhambi; na tunapata tena tumaini la kuishi maisha mazuri, yaliyo huru na kila utumwa, chuki na hofu.
neutral
Home BIASHARA NA UJASILIAMLI Thamani ya kipande inatafutwaje katika soko la hisa
disgust
Uvamizi huo ambao haukutegemewa dhidi ya kundi hilo lililoko Calabria, Kusini mwa Italia, umekuja siku moja baada ya polisi nchini humo kumkamata kiongozi wa kundi jingine la Mafia.
fear
Halafu mkinionyesha, "ndiye huyu
neutral
Tunachukua viti vya massage, ambazo zinaweza kutengenezwa kwa kila mmoja, ambayo inamaanisha kwamba massage inayofaa inalingana na ukubwa na uzito.
neutral
alipokuwa duniani alikuwa
fear
"Wakati idadi ya majeruhi wa mashambulizi ya risasi jana katika eneo Lekki huko Lagos bado haijulikani, kuna shaka kidogo kwamba haya yalikuwa matumizi ya nguvu kupita kiasi, na kusababisha mauaji haramu na risasi za moto yaliyotekelezwa na vikosi vya jeshi vya Nigeria.
fear
Daudi akamwambia Mungu,
neutral
Yeye anajua yupo kazini tayari.
neutral
Katika mji wa Hong Kong, unaweza kununua mitindo tofauti ya barakoa
neutral
vii Akamtafuta kwa macho mawili kipenzi chake.
neutral
Wachukue mifano michache tu ya Uganda na Msumbiji!
neutral
Team A inachotaka kusema ni kuwa Ibilisi naye aliumba, lakini ningependa kuidokeza kuwa kitu ambacho Ibilisi aliumba ni KIBURI.
disgust
Karibuni Sana Katika Website Yetu hii ungana nasi katika habari zetu mbalimbali.
neutral
Ni bora kwa ajili ya kupoteza uzito?
neutral
See More Wawawiwa
fear
Kinda hungry?"
surprise